Kikota ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakota. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikota imehesabiwa kuwa watu 930. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikota iko katika kundi la Kitamil-Kikannada.
Developed by Nelliwinne